Uncategorized

NICOLAS WADADA WA AZAM FC BEKI BORA WA VPL 2019/20

admin August 7, 2020 7:47 pm

 NICOLAS Wadada, beki wa Azam FC leo Agosti 7 amekabidhiwa tuzo ya beki bora kwa msimu wa 2019/20.


Wadada amewashinda wachezaji wenzake aliokuwa akipambana nao ambao ni Bakari Mwamnyeto wa Coastal Union mwenye bao moja na David Luhende wa Kagera Sugar mwenye pasi nne za mabao na amecheza mechi zote 38 za Ligi Kuu Bara.


Wadada amehusika kwenye jumla ya mabao tisa ya Azam FC akifunga bao moja na kutoa pasi moja kati ya mabao 52 yaliyofungwa na Azam FC iliyo nafasi ya tatu kwenye msimamo.

MANULA AWABURUZA MGORE NA BAROLA, ASEPA NA TUZO YAKE CHAMA ATWAA TUZO YA KIUNGO BORA VPL 2019/20, AWAPOTEZA KIKOTI NA MAPINDUZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply