Uncategorized

BREAKING:SENZO AACHIA NGAZI SIMBA

admin August 9, 2020 1:47 pm

 

BREAKING: Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba SC, Senzo Mbatha ametangaza kujiuzulu nafasi yake katika klabu hiyo,leo Agosti 9.


Senzo ameishukuru klabu kwa mafanikio yaliyopatikana kwenye kipindi kifupi.

     Kwa msimu wa 2019/20, Senzo ameweza kushuhudia timu ikitwaa mataji matatu ambayo ni pamoja na ngao ya jamii, Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho.

Habari zinaeleza kuwa sababu ya kujiweka kando ni kutokuwa na maelewano mazuri ndani ya Simba kwenye masuala ya uongozi.

BREAKING:KIBWANA SHOMARI ASAINI YANGA, ATAJWA KUWA MBADALA WA JUMA ABDUL MTIBWA SUGAR WAKIRI KUWA MSIMU WA 2019/20 ULIKUWA MBAYA KWAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply