Uncategorized

DEO KANDA ATAJWA KUIBUKIA YANGA

admin August 9, 2020 12:47 pm

 INAELEZWA kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Deo Kanda amesaini dili la miaka miwili ndani ya Yanga.

Tayari dirisha la usajili limefunguliwa tangu Agosti Mosi na linatarajiwa kufungwa Agosti 31.

Habari zinaeleza kuwa Yanga imemnasa Kanda akiwa mchezaji huru baada ya dili lake la mwaka mmoja kufika tamati ndani ya Simba.

NYOTA MPYA YANGA ATAKA KUFUNGA MABAO ZAIDI YA 30 BREAKING:KIBWANA SHOMARI ASAINI YANGA, ATAJWA KUWA MBADALA WA JUMA ABDUL

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply