Uncategorized

SASA NI BAYERN MUNICH V PSG FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA, WOTE MWENDO WA 3-0

admin August 20, 2020 2:47 am

 

BAYERN Munich usiku wa kuamkia leo imeshinda kwa mabao 3-0 mbele ya Lyon kwenye mchezo wa nusu fainali hatua ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. 

Mabao ya Munich mawili yalifungwa  na Gnabry dadakika ya 18 na 33 na lile la tatu lilifungwa na mshambuliaji wao machachari Lewandowski dakika ya 88.

Sasa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inayotarajiwa kuchezwa Agosti 23 itakuwa ni dhidi ya PSG. 

Uzuri ni kwamba timu zote zinatinga fainali zikiwa zimetoka kupata matokeo yanayofanana kwenye hatua ya nusu fainali. 

PSG nayo ilitinga hatua ya fainali kwa kupata ushindi wa mabao 3-0 mbele ya Leipzig hivyo mwenye kisu kikali ndiye atasepa na taji hilo.

STRAIKA TP MAZEMBE ASHUSHWA YANGA,MUGALU ABEBESHWA ZIGO LA OKWI, NDANI YA SPOTI XTRA ALHAMISI SIMBA YATAJA SABABU YA AJIBU KUJENGA USHKAJI NA BENCHI, ANATAJWA KUIBUKIA NAMUNGO FC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply