Uncategorized

HAJI AWAPA TANO YANGA, AWACHOKONOA ISHU YA KUMBEBA KIONGOZI JUU

admin August 21, 2020 9:47 am


HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa anawapenda mashabiki wa Yanga kwa kuwa ni wavumilivu ila kitendo cha kumbeba kiongozi wao juu ni tukio la hovyo,


Jana Agosti 20, Yanga waliwapokea wachezaji wake wapya wawili ambao ni Tuisila Kisinda na Tonombe Mukoko wote kutoka AS Vita na kwenye mapokezi hayo Injinia Hersi Said ambaye ni Mkurugenzi Mwekezaji kutoka Kampuni ya GSM alibebwa juu mithili ya mfalme.

Manara ameyasema hayo leo alipokuwa akizungumza na kituo cha +255 Global Radio ambapo amesema kuwa anaamini mashabiki wa Yanga ni wavumilivu. 

 “ Kitu pekee ambacho nakipenda Yanga ni kuwa wana moyo wa chuma, ni wavumilivu hasa, kwa matokeo yale wanayopata huku wanambeba kiongozi wao juu, ni tukio la hovyo kabisa lile.” 


NAMUNGO FC YAMALIZANA NA JEMBE LA KAZI KUTOKA KENYA MAXIME HAUZWI AENDELEA KUKINOA KIKOSI CHA KAGERA SUGAR, MECHI ZAKE HIZI HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply