Uncategorized

HII HAPA ORODHA YA WACHEZAJI WA YANGA WANAOENDELEA NA MAZOEZI

admin August 22, 2020 2:47 am

 

Wachezaji wa Yanga wanaoendelea na mazoezi Uwanja wa Chuo cha Sheria kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu Bara pamoja na wiki ya Wananchi ambayo kilele chake ni Agosti 30, Uwanja wa Mkapa:-

Lamine Moro 

Said Makapu

Abdulaziz Makame

Ramadhan Kabwili 

Feisal Salum 

Abdallah Shaibu ingizo jipya kutoka Serbia.

Juma Mahadhi 

Kibwana Shomari ingizo jipya kutoka Mtibwa Sugar.

Farid Mussa ingizo jipya kutoka  CD Tenerife.

Ditram Nchimbi 

Deus Kaseke 

Paul Godfrey 

Zawad Mauya ingizo jipya kutoka Kagera Sugar.

Faroukh Shikalo 

Wazir Junior ingizo jipya kutoka Mbao FC.

Metacha Mnata 

Mustapha Yassin ingizo jipya kutoka Polisi Tanzania. 

Bakari Mwamnyeto ingizo jipya kutoka Coastal Union. 

SIMBA:MORRISON ATATUPA PENALTI MSIMU UJAO,YANGA YASHUSHA JEMBE,KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI CONTE AAMBULIA KADI YA NJANO, SEVILLA YASEPA NA TAJI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply