Uncategorized

KOCHAWA TIMU YA TAIFA AWASHANGAA WANAOMBEZA ONYANGO

admin August 28, 2020 6:47 am


 KOCHA wa zamani wa Kenya, Harambe Stars, Adel Amrouche raia wa Ubelgiji amesema Onyango ni kati ya mabeki bora aliowahi kuwanoa na wanaombeza wataona tofauti pale atakapoanza kucheza.

Amesema kawaida Onyango hana mvuto kwa mashabiki badala yake ana mvuto mkubwa kwa watu wa ufundi kwa maana ya makocha.

Onyango amejiunga na Simba akitokea Gor Mahia ya Kenya kwa kandarasi ya miaka miwili na mchezo wake wa kwanza ulikuwa dhidi ya Vital’O ya Burundi ambapo Simba ilishinda mabao 6-0 Uwanja wa Mkapa
.


Amrouche amesema:”Ni miongoni mwa wachezaji wazuri ambao hawavutii nje ya uwanja lakini uwezo wao ni ndani ya uwanja hivyo nina amini atafanya makubwa ambayo wengi hawataamini.”


BREAKING: KOCHA MPYA YANGA ZLATICO, KUTUA KESHO POGBA AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply