Uncategorized

STAA WA ‘WAKADA FOREVER’ AFARIKI

admin August 29, 2020 8:47 am


 Muigizaji wa filamu ya Black Panther, ya mwaka 2018, Chadwick Boseman ametangulia mbele za haki kwa tatizo la Kansa.


Nyota huyo alijipatia umaarufu kupitia filamu amefariki akiwa na umri wa miaka 43, jana Ijumaa.


Kifo chake kimewashtua mastaa wengi ikiwa ni pamoja na Oprah Winfrey ambaye anaandika kupitia Ukurasa wake wa Twitter kuwa:Nafsi yako na ipumzike katika amani.


Filamu ya Wakada ilipata umaarufu duniani kutokana na kuigiza mila za kiafrika.Hashtag yake ilikuwa ni Wakada Forever.

MSHAMBULIAJI MPYA MBIKINAFASO AWASOTESHA YANGA UWANJA WA NDEGE NGAO YA JAMII LEO ARSENAL V LIVERPOOL

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply