Uncategorized

TANZIA:MKE WA MO BANKA ATANGULIA MBELE YA HAKI

admin August 29, 2020 10:47 am

 


Mohamed Banka, kiungo wa zamani wa Klabu ya Yanga na Simba amepatwa na msiba kwa kuondokewa na mkewe, Bi Mariam Abdul Banchu.

Umauti umemfikia Mariam usiku wa kuamkia leo kwenye Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam baada ya kujiskia vibaya ghafla na kupelekwa kupewa huduma mpaka kukutwa na umauti.

Shughuli za mazishi zitafanyika kwenye msikiti wa Maamur na maziko yatafanyika makaburi ya Kisutu na msiba utakuwa Tabata Chang’ombe. 

NGAO YA JAMII LEO ARSENAL V LIVERPOOL SIMBA:TUNA BWALYA,MUGARU,MORISSON, TUTAWAKERA KWELI YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply