Uncategorized

NYOTA YANGA ASAINI POLISI TANZANIA

admin September 1, 2020 12:47 pm

 

TARIQ Seif kiungo mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Yanga amesaini dili la miaka miwili ndani ya Klabu ya Polisi Tanzania. 

Seif alipokuwa akikipiga Yanga alipewa jezi namba 10 ambayo kwa sasa amekabidhiwa mshambuliaji mpya Yacouba Sogne raia wa Burkina Faso.

Polis Tanzania imezidi kujiimarisha kwa ajili ya msimu mpya wa 2020/21 ambapo imesajili nyota wengi wenye uzoefu ikiwa ni pamoja  na Daruesh Saliboko aliyekuwa ndani ya Lipuli.

Dirisha la usajili ambalo lilifunguliwa Agosti Mosi limefungwa Agosti 31

KIKOSI CHA YANGA KWA MSIMU WA 2020/21 HIKI HAPA NYOSSO KUKIPIGA NDANI YA RUVU SHOOTING

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply