Uncategorized

BREAKING:MESSI AWAJIBU LA LIGA KUHUSU ISHU YAKE YA MALIPO

admin September 4, 2020 1:47 pm

 

BREAKING: BABA wa nyota wa Klabu ya Barcelona, Lionel Messi amesema kuwa ishu ya La Liga kutaka mwanae kulipa Euro Milioni 700 ili aweze kuondoka haina uhai kwa kuwa muda wake ulishakwisha.

Babaye Messi, Jorge ambaye ni wakala wa mchezaji huyo amesema kuwa taarifa kuhusu mteja wake kwamba anapaswa kulipa Euro milioni 700 ili aondoke hazina ukweli.

Wakala huyo amesema mwanaye anaweza kuondoka ndani ya kikosi cha Barcelona akiwa mchezaji huru kwenda klabu anayotaka.

Inaelezwa kuwa nyota huyo anahitaji kuondoka ndani ya Barcelona ili kupata changamoto mpya na timu inayotajwa kupata saini yake ni Manchester City.

KAGERA SUGAR YAJIVUNIA MAJEMBE YA SIMBA NA YANGA SABABU YA MEDDIE KAGERE KUJENGA URAFIKI NA BENCHI HII HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply