Uncategorized

MASHABIKI WA YANGA WALIOWAPIGA WALE WA SIMBA WAFUNGIWA

admin October 2, 2020 3:47 pm

 


TAARIFA kutoka Bodi ya Ligi Tanzania leo Oktoba 2 kuhusu matukio mbalimbali ambayo yamefanyiwa maamuzi baada ya Kamati ya Kusimamia Ligi Kuu Bara kupitia matukio mbalimbali.


Miongoni mwa waliopewa adhabu ni pamoja na mashabiki wa Klabu ya Yanga ambao waliwapiga mashabiki wa Simba na kuwachania jezi,kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.


Adhabu waliyopewa ni pamoja na faini na kufungiwa kutoingia uwanjani kwa muda wa miezi 12 












SIMBA YAIFUATA JKT TANZANIA, KITUO CHA KWANZA MORO SIMBA YATAJA SABABU YA NDEMLA KUITWA TIMU YA TAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply