Uncategorized

BREAKING:YANGA YAMFUTA KAZI KOCHA MSERBIA ZLATKO

admin October 3, 2020 8:47 pm

 


UONGOZI  wa Klabu ya Yanga leo Oktoba 3,2020 umefikia makubaliano ya kumfuta kazi kocha wao mkuu, Zlatko Krmpotic raia wa Serbia aliyechukua mikoba ya Luc Eymael.


Zlatko amekiongoza kikosi cha Yanga kwenye mechi tano za Ligi Kuu Bara ambapo katika mechi hizo ameshinda mechi nne na kulazimisha sare moja ya kufungana bao 1-1 mbele ya Tanzania Prisons.

Leo Oktoba 3 amekiongoza kikosi cha Yanga kwenye mchezo wa mwisho dhidi ya Coastal Union ambapo Yanga ilishinda mabao 3-0.


Taarifa rasmi iliyotolewa na Klabu ya Yanga imeeleza kuwa wamefikia makubaliano ya kusitisha makubaliano kwa pande zote mbili.


YANGA YATEMBEZA DOZI YA 3-0 MBELE YA COASTAL UNION KWA MKAPA JKT TANZANIA V SIMBA LEO NI MECHI YA KISASI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply