Uncategorized

REDODO BADO WAMO VPL

admin October 12, 2020 11:47 am

 


KIUNGO Ramadhan Chombo,’ Redodo’ anayecheza ndani ya Biashara United bado amekuwa kwenye ubra wake akiwa ndani ya uwanja kwa kucheza timu na kutengeneza mipango ya kufunga ili kuipa ushindi timu yake.


Biashara United ikiwa imefunga mabao matatu yeye amehusika mwenye bao moja ambapo alitoa pasi ya bao na kuipa pointi tatu muhimu timu yake.

Alitoa pasi yake nje ya wakati Biashara United ikishinda bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar.


Kwa sasa Biashara United ipo nafasi ya 6 ina pointi 10 kibindoni.


Mchezo wake unaofuata ni dhidi ya Ihefu FC utachezwa Oktoba 14.


Bao lilipachikwa na Kelvin Friday.

NEMBO MPYA YA FOUNTAIN GATE KOCHA MPYA YANGA AMEANZA KAZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply