Uncategorized

BINGWA WA MPIRA WA KIKAPU TANZANIA KUPATIKANA KESHO

admin October 24, 2020 10:47 am

 


LIGI ya Taifa ya Kikapu ya Tanzania (National Basketball League – NBL) iliyoanza Februari ngazi ya mikoa RBA na sasa iko ngazi ya Taifa (NBL).


Ligi hiyo inafikia tamati kesho Jumapili 25 Octoba, leo Jumamosi kuna nusu fainali na kesho ni fainali.


Fainali hiyo itachezwa Uwanja wa Don Bosco Upanga, Dar es Salaam na bingwa atapatikana.


 Bingwa wa Kikapu Tanzania ana jukumu la  kuwakilisha nchi katika Ligi ya Kikapu ya Afrika (Basketball Africa League – BAL) kwa upande wa Wanaume na upande wa Wanawake katika kanda ya tano.

MAPOKEZI YANGA MWANZA LEO OKTOBA 24 SI MCHEZO MTIBWA SUGAR: TUTAVUNJA MWIKO WA AZAM FC KUTOFUNGWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply