Uncategorized
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA RUVU SHOOTING, AJIBU, KAKOLANYA NDANI
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Oktoba 26 dhidi ya Ruvu Shooting mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Uhuru.
Mchezo huu unatarajiwa kuanza saa 10:00 jioni na kwa mara ya kwanza kwa msimu wa 2020/21 kipa namba mbili Beno Kakolanya ameanza kikosi cha kwanza.


Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.