Sokalabongo
  • HOME
  • SIMBA SCSIMBA SC
  • YANGA SCYANGA SC
  • AZAM FCAZAM FC
Uncategorized

BERNARD MORRISON MAJANGA MATUPU NDANI YA SIMBA

admin October 29, 2020 7:47 pm
BERNARD Morrison nyota wa Simba kwa mwezi Oktoba amekuwa na majanga yake ya kipekee ambapo rekodi zinaonyesha kuwa amekuwa ni mchezaji anayechezewa faulo nyingi na mwanzilishi wa ugomvi pia.


Kwenye mchezo kati ya JKT Tanzania na Simba uliochezwa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma wakati Simba ikishinda mabao 4-0  alimkunja mchezaji baada ya kuchezewa faulo na Kwenye mchezo dhidi ya Tanzania Prisons wakati Simba ikikutana na balaa la kichapo cha bao 1-0 alichezewa faulo zaidi ya mbili pia alikutana na mkono wa  Salum Kimenya kiraka wa Tanzania Prisons. 


Wakati Simba ikifungwa bao 1-0 alimpiga ngumi Juma Nyosso na wote wamepewa adhabu,  maamuzi mengine haya hapa:-








 


Tags:
OSCAR MASAI, OBREY CHIRWA KUIKOSA JKT TANZANIA KESHO
Previous Story OSCAR MASAI, OBREY CHIRWA KUIKOSA JKT TANZANIA KESHO
KOCHA YANGA AKUBALI UWEZO WA NYOTA WAKE
Next Story KOCHA YANGA AKUBALI UWEZO WA NYOTA WAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply

You must be logged in to post a comment.

Latest Stories

Mauzo ya wachezaji Ligi Kuu England
Rekodi Mpya EPL: Mauzo ya Wachezaji Yanavyoingiza Mabilioni Msimu Huu
Aug 30, 2026
Mtoto wa Jux na Priscilla
Sura ya Mtoto wa Jux na Priscilla Yazua Mjadala Mzito Mitandaoni
Aug 30, 2026
Yanga dhidi ya Fountain Gate
Mngqithi Aonya Yanga Dhidi ya Fountain Gate: “Hatuchukulii Mchezo Poa”
Aug 30, 2026
Fountain Gate vs Yanga SC
Rekodi Zinaibeba Yanga SC Dhidi ya Fountain Gate Arusha | Ligi Kuu Bara
Aug 30, 2026
Pacome Zouzoua Yanga SC
Hali ya Pacome Zouzoua Yanga SC: Ali Kamwe Afunguka Maendeleo Yake Kiafya
Aug 30, 2026

2026 Sokalabongo. All rights reserved. Website Designed by Yatosha Web Services