HII hapa Orodha ya wachezaji 27 wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars walioitwa na Kocha Mkuu Etiene Ndayiragije kwa ajili ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Tunisia wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika,(Afcon).
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Novemba 13, Uwanja wa Mkapa.
Makipa wanne
Juma Kaseja (KMC)
Aishi Manula (Simba)
Metacha Mnata (Yanga)
David Kissu (Azam FC)
Mabeki
Shomari Kapombe (Simba)
Mohamed Hussein (Simba)
Erasto Nyoni (Simba)
Deus Kaseke (Yanga)
Bakari Mwanyeto (Yanga)
David Bryson (Azam FC)
Abdalah Shaibu (Yanga)
Abdallah Sebo (Azam )
Viungo
Farid Mussa wa Yanga
Jonas Mkude (Simba)
Said Ndemla (Simba)
Mzamiru Yassin (Simba)
Feisal Salum (Yanga)
Ditram Nchimbi (Yanga)
Ally Msengi (Stellenbosch ya Afrika Kusini)
Salum Abubakary (Azam)
Himid Mao (ENPPI ya Misri)
Washambuliaji
Simon Msuva (Difaa El Jadid ya Morocco)
John Bocco wa Simba
Thomas Ulimwengu wa TP Mazembe ya Congo
Adam Adam wa JKT Tanzania
Idd Seleman wa Azam
Mbwana Samatta wa Fenerbahce ya Uturuki.