Uncategorized

NYOTA SABA WA YANGA WAIBUKIA UTURUKI

admin November 9, 2020 8:47 am

BAADA ya kumaliza Dar Dabi, Uwanja wa Mkapa Novemba 7 kwa sasa maisha ya wachezaji wa Yanga yapo Uturuki ambapo wameweka kambi ya siku tatu.


Stars chini ya Kocha Mkuu, Etienne Ndayiragije ipo kwenye maandalizi ya mchezo wa kuwania kufuzu Afcon dhidi ya Tunisia.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Novemba, 13, nchini Tunisia na nyota saba wa Yanga wamejumuishwa ndani ya kikosi hicho.


Uwanja wa Mkapa ngoma ilikamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1 na hawa hapa nyita wa Yanga wapo ndani ya kikosi cha Stars:-Metacha Mnata, Deus Kaseke, Bakari Mwamnyeto, Abdallah Shaibu (Ninja), Ditram Nchimbi, Feisal Salum na Farid Mussa wote wa Yanga.


DAKIKA 180, DABI YA YANGA NA SIMBA YATAWALIWA NA PENALTI TATA SIMBA WAPINZANI WAKE NI KUTOKA NIGERIA, MIAMBA HII RAUNDI YA AWALI HAIWAHUSU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply