Uncategorized
RAIS CAF AFUNGIWA MIAKA MITANO NA FIFA
Bodi ya uendeshaji michezo ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), limemfungia miaka mitano Rais wa Shirikisho la Soka Afrika, Ahmad Ahmad kujihusisha na mchezo wa soka na shughuli zote zonazohusiana na mchezo huo.
Kamati ya nidhamu ya Fifa, imesema Ahmad alikuwa na matumizi mabaya na ufujaji wa fedha za Caf akiwa madarakani.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.