Home Uncategorized SIMBA YATIA TIMU ABUJA Uncategorized SIMBA YATIA TIMU ABUJA By admin - November 25, 2020 125 0 KIKOSI cha Simba ambao ni wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kimewasili Abuja kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa unaotarajiwa kuchezwa kati ya Novemba 27-29.