Uncategorized SIMBA YAINGIA ANGA ZA KIMBA WA ZAMBIA admin December 6, 2020 10:47 am IMEELEZWA kuwa Toaster Nsabata kipa wa Klabu ya Zanaco FC ameingia Kwenye rada za Simba. Nyota huyo ana miaka 27 ana urefu wa cm 183 amecheza pia Klabu ya Nchanga Rangers msimu wa 2016.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.