Uncategorized

NYOTA WA SIMBA AINGIA ANGA ZA IHEFU NA NAMUNGO

admin December 19, 2020 5:47 am


KIUNGO mshambuliaji ndani ya Klabu ya Simba, Miraj Athuman huenda akaibukia ndani ya Namungo FC kwenye usajili wa dirisha dogo.


Nyota huyo ambaye msimu uliopita alitupia mabao saba na pasi moja ya bao msimu huu amekuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu.


Habari zinaeleza kuwa miongoni wa timu ambazo zinahitaji huduma yake ni pamoja na Namungo FC na Ihefu FC kwa mkopo.

NIYONZIMA:TUTACHUKUA UBINGWA WA LIGI KUU BARA KIUNGO WA YANGA KUIBUKIA POLISI TANZANIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply