Uncategorized

BREAKING:MKUDE ASIMAMISHWA SIMBA

admin December 28, 2020 3:47 pm

 


KIUNGO mkongwe ndani ya Klabu ya Simba kipenzi cha mashabiki, Jonas Mkude amesimamishwa ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck.


Taarifa ambayo imetolewa leo na uongozi wa Simba imeeleza kuwa amesimamishwa kutokana na masuala ya utovu wa nidhamu pamoja na masuala mengine.

Habari hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo imefikia ili kamati ya nidhamu iweze kufanya uchunguzi juu ya tuhuma zinazomhusu Mkude.

Taarifa hiyo imeeleza namna hii:-

BEKI SIMBA MALI YA KAGERA SUGAR MAJEMBE YA KMC YARUDI KAZINI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply