Home Yanga SC KIKOSI CHA KWANZA CHA YANGA BAADA YA KUKAMILISHA USAJILI WA FISTON

KIKOSI CHA KWANZA CHA YANGA BAADA YA KUKAMILISHA USAJILI WA FISTON


 BAADA ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze kukamilisha dili la Fiston Abdulazack kwenye usajili wa dirisha dogo inakuwa imesajili jumla ya nyota watatu.


Nyota mwingine ambaye amesajiliwa ni pamoja na Saido Ntbanzokiza naye ni raia wa Burundi pamoja na mzawa Dikson Job.

Huenda kikosi cha kwanza  kitakuwa namna hii:-


Mnata Metacha 

Kibwana Shomari 

Lamine Moro 

Bakari Mwamnyeto 

Yassin Mustapha 

Tonombe Mukoko 

Feisal Salum 

Saido Ntibanzokiza 

Tuisila Kisinda 

Yacouba Songne 

Fiston Abdulazack 

SOMA NA HII  WAKATI SIMBA WAKIJARIBU KUJIPANGA UPYA..UKWELI KUHUSU YANGA KUWA BINGWA MSIMU HUU UKO HIVI...