Home Simba SC SIMBA SUPER CUP:SIMBA 0-0 TP MAZEMBE

SIMBA SUPER CUP:SIMBA 0-0 TP MAZEMBE

 


SIMBA Super Cup 

Uwanja wa Mkapa

Kipindi cha Kwanza

Zinaongezwa dakika 2

Dakika 45 TP Mazembe wanapata faulo

Dakika ya 43 Sheva anapaisha mpira juu kidogo ya lango ndani ya 18

Dakika ya 42 Mugalu of target anapiga kichwa ndani ya 18

Dakika ya 37 Chama anapaisha ndani ya 18

Dakika ya 36 Chama anapiga faulo inaokolewa na kipa wa Mazembe 

Dakika ya 35 Moustapha Kouyate anaonyeshwa kadi ya njano

Dakika ya 34, Luis anachezewa faulo nje kidogo ya 18 na kufanya timu zote ziwa zimecheza jumla ya faulo 7

Dakika ya 32 Chama anapiga kona haizai matunda 

Dakika ya 26 Chama anapiga shuti kali akiwa nje ya 18 linakwenda nje kidogo ya lango

Dakika ya 24 TP Mazembe wanapata faulo baada ya Kameta kumchezea faulo mchezaji wa Mazembe inapigwa na Shibangu

Dakika ya 22 Tshabalala anachezewa faulo

Dakika ya 20 Mugalu anapiga shuti linaokolewa na kipa

Dakika ya 19 Tshabalala on target kipa anapangua

Dakika ya 15 Lwanga chezewa faulo ya kwanza

Dakika ya 6 Jeje anapiga faulo haizai matunda 

Dakika ya 4 Kakolanya aliokoa hatari ndani ya 18

Dakika ya 3 Luis alipiga on target ya Kwanza iliokolewa na kipa wa TP Mazembe 

Simba 0-0 TP Mazembe

SOMA NA HII  TULISEMA NA IMETOKEA....KUELEKEA MSIMU UJAO..KAPAMA NI MNYAMA...VYUMA VINGINE VINAVYOSUBIRIWA NI HIVI...