Home Simba SC SIMBA WAMTANGAZA KOCHA MPYA, MFARANSA Kutoka EL MERRICK – VIDEO

SIMBA WAMTANGAZA KOCHA MPYA, MFARANSA Kutoka EL MERRICK – VIDEO

 

UONGOZI wa klabu ya Simba umemtambulisha rasmi Mfaransa Didier da Rosa kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho mara baada ya aliyekuwa kocha wa kikosi hicho Sven Vandenbroeck kuachia ngazi Januari 7, mwaka huu.

SOMA NA HII  SIMBA YASEPA NA POINTI TATU MBELE YA DODOMA JIJI,KITUO KINACHOFUATA AZAM FC