Yanga SC
MITAMBO HII YA MABAO NI MWENDO WA NNENNE
NAMBA nne ndani ya Ligi Kuu Bara, msimu wa 2020/21 imekuwa ni pendwa kwa wachezaji wengi ambao wamefungua akaunti zao za mabao.
Wangu wametupia mabao mannemanne yanayowafanya wafikirie kusepa mahali hapo kutimiza malengo ambayo wamejiwekea kwa msimu huu.
Hii hapa orodha ya wazee wa kutupia nnenne ndani Ligi Kuu Bara:-


Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.