Ligi Kuu

WAKALI WA KUCHEKA NA NYAVU BONGO HAWA HAPA

admin February 4, 2021 4:47 am

 

WAKATI leo Februari 4 mechi mbili zikitarajiwa kuchezwa ambazo ni za viporo vya mzunguko wa kwanza kuna ushindani pia Kwenye upande wa utupiaji wa mabao.

Kinara kwa sasa ni nahodha wa Simba, John Bocco ambaye ametupia jumla ya mabao 8 kwa msimu wa 2020/21.

Mbali na kutupia mabao hayo pia ana pasi mbili za mabao na ana mpira wake mmoja kabatini baada ya kufunga hat trick mbele ya Coastal Union ya Tanga.

Hii hapa orodha ya watupiaji Bongo


HIZI HAPA LEO ZA LIGI KUU BARA ZITACHEZWA AZAM FC :MECHI ZA YANGA NA SIMBA NI PRESHA,ILA HATUNA HOFU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply