Home Azam FC KIKOSI CHA AZAM FC LEO KINACHOTARAJIWA KUANZA DHIDI YA SIMBA

KIKOSI CHA AZAM FC LEO KINACHOTARAJIWA KUANZA DHIDI YA SIMBA

0


 LEO Februari 7, Uwanja wa Mkapa majira  ya saa 10:00 jioni unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba v Azam FC.

Mchezo huo umeshika hisia za wadau kutokana na ushindani uliopo ndani ya Ligi Kuu Bara ambapo awali ulipangwa kuchezwa majira ya saa 1:00 usiku ila sasa utachezwa majira ya saa 10:00 jioni.

Hiki hapa kikosi cha Azam FC ambacho kinatarajiwa kuanza leo mbele ya Simba, kwa mujibu wa gazeti la michezo la Spoti Xtra, Jumapili:-

Kwa Azam FC ni:-Mathias Kigonya.

 Nicolas Wadada

Agrey Morrisi

Sebo

Bruce Kangwa

Nivere Tigere

Mudhathir Yahya

Naldo

Obrey Chirwa

Prince Dube

Ayoub Lyanga