Simba SC
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA AZAM FC
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wana kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.
Kwa mujibu wa gazeti la michezo la Spoti Xtra, Jumapili, hiki hapa kikosi kinatarajiwa kuanza kwa upande wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes:-
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Joash Onyango
Pascal Wawa
Tshbalala
Rarry Bwalya
Thadeo Lwanga
Clatous Chama
Bernard Morrison
Medddie Kagere
Luis
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.