Home news MECHI YA WAJEDA WA ANGOLA NA NAMUNGO YAFUTWA

MECHI YA WAJEDA WA ANGOLA NA NAMUNGO YAFUTWA


 SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Africa,(CAF) limefuta mechi kati ya CD ed Agosto v Namungo, mechi hiyo ilipaswa kuchezwa kesho ambayo ni hatua ya 32 bora ya Kombe la Shirikisho.


Namungo inayonolewa na Hemed Morocco, jana Februri 12 iliwasili Angola kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo huo ambapo wenyeji wao wa Angola ambao ni Wanajeshi waliwazuia Uwanja wa wa ndege kwa kueleza kuwa wachezaji watatu pamoja na kiongozi mmoja wana maambukizi ya Corona.


Taarifa hiyo ilifika kwenye Serikali ya Tanzania ambapo kupitia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alisema bungeni kuwa wanalifuatilia kupitia Wizara ya Mambo ya nje na taarifa rasmi iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imeeleza kuwa mechi hiyo imefutwa na taarifa imeeleza namna hii:-


 

SOMA NA HII  MAMBO YAZIDI KWENDA KOMBO KWA MWAKINYO...AZIDI KUPOROMOKA KWENYE VIWANGO VYA DUNIA...