Yanga SC NYOTA HAWA WA YANGA KUIKOSA MBEYA CITY LEO admin February 13, 2021 9:47 am Dickson Job, beki wa kati wa Klabu ya Yanga anatarajiwa kuukosa mchezo wa leo dhidi ya Mbeya City utakaochezwa Uwanja wa Sokoine Mbeya. Pia Saido Ntibanzokiza naye pia ataukosa mchezo wa leo.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.