Home Ligi Kuu MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII Ligi Kuu MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya Mbeya City kutoshana nguvu na Yanga kwa kufungana bao 1-1, Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Pia Biashara United ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Mwadui FC, Uwanja wa Mwadui Complex na kusepa na pointi tatu mazima. SOMA NA HII BODI YA LIGI KUKAGUA VIWANJA VYOTE VITAKAVYOTUMIKA 2021/22