Ligi Kuu

LIGI YA WANAWAKE KUREJEA WIKIENDI HII

admin February 16, 2021 1:47 pm

 

Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, inatarajia kurejea mwishoni mwa wiki hii baada ya kusimama kwa muda kupisha mapumziko ya kutamatika kwa mzunguko wa kwanza.

Mpaka ligi hiyo inakwenda mapumziko kikosi cha Yanga Princess kilikuwa kikiongoza msimamo na pointi zao 31, kikifuatiwa na Simba Queens ambao wana pointi 29 wakiwa katika nafasi ya pili.

Ratiba nzima ya michezo itakayopigwa Wikiendi hii, hii hapa;


LUNYAMILA: KWA HILI LA NAMUNGO, TFF WANASTAHILI PONGEZI KAZE AFUNGUKIA SABABU YA SARE MFULULIZO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply