KIKOSI cha klabu ya Namungo leo kimeibuka na ushindi wa mabao 6-2 dhidi ya wapinzani wao Clube Desportivo 1ΒΊ de Agosto ya Angola katika mchezo wa kwanza wa hatua ya mtoano kombe la Shirikisho Afrika.
Katika mchezo huo uliopigwa katika dimba la Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam, Namungo ilikuwa ya kwanza kufungwa bao kabla ya kusawazisha bao hilo na kupata mabao mengine na mpaka mwamuzi anapuliza filimbi ya mwisho Namungo aliibuka na ushindi wa mabao 6-2.
Wafungaji wa mabao katika mchezo huo ni kama ifuatavyo;
Mchezo wa marudiano kati ya timu hizo utapigwa Februari 25, mwaka huu.
Hongera Namungo