Yanga SC

FEI TOTO: TUPO TAYARI KUSHINDA MBELE YA KENGOLD LEO

admin February 27, 2021 5:47 am


 FEISAL Salum, kiungo wa Klabu ya Yanga amesema kuwa wana amini kwamba watapata ushindi kwenye mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora dhidi ya Kengold ya Mbeya.

Uwanja wa Uhuru saa 10:00 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa ambapo timu ambayo itashindwa kupata matokeo itatolewa jumlajumla.

Feisal amesema kwa namna ambavyo wamejiandaa inawapa nafasi kupata ushindi ndani ya uwanja kwenye mchezo huo muhimu.

“Tupo sawa na tunaamini kwamba kila mchezaji anahitaji kuona timu ikishinda hivyo tutapambana kupata matokeo ndani ya uwanja.

“Inawezekana kupata ushindi na nafasi yetu ipo pia tunawaheshimu wapinzani wetu hilo lipo wazi kwa kuwa nao pia wanahitaji ushindi,” .

WAARABU WATAJIWA DAU LA LUIS MIQUISSONE,NNE ZAWANIA SAINI YAKE CHELSEA, MANCHESTER CITY NA UNITED ZAPIGA HESABU SAINI YA JAHKEELE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply