Home Azam FC AZAM FC WAIVUTIA KASI MBEYA CITY

AZAM FC WAIVUTIA KASI MBEYA CITY

 


BAADA ya kupoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union,  kituo kinachofuata ni dhidi ya Mbeya City,  Uwanja wa Azam Complex,  Februari 18.


Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu,  George Lwandamina ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara na ina pointi 33 kibindoni. 


Itawakaribisha Mbeya City iliyo nafasi ya 17 na pointi zao ni 15 wote wamecheza jumla ya mechi 19 ndani ya msimu wa 2020/21.


Walipokutana Uwanja wa Azam Sokoine,  mzunguko wa kwanza,  AzamFC ilishinda bao 1-0 hivyo mchezo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

SOMA NA HII  AZAM FC KIBOKO YAMALIZANA NA SURE BOY JUMLAJUMLA