Home Azam FC SIRI HII YAVUJA…KUMBE DUBE NDIO SABABU…AZAM KUFUNGWA NA SIMBA

SIRI HII YAVUJA…KUMBE DUBE NDIO SABABU…AZAM KUFUNGWA NA SIMBA

Habari za Michezo

Ndiyo; Kuanzia msimu uliopita mpaka sasa, Simba hakuwahi kushinda dhidi ya Azam FC Prince Dube akiwa Kikosini.

Tangu Msimu uliopita Simba SC ameshinda mechi 2 dhidi ya Azam tangu Prince Dube aondoke Azam FC.
Katika mechi zote walizoshinda Azam dhidi ya Simba tangu msimu uliopita Prince Dube alifunga goli tena sio goli tu bali goli maana (goli la kideo).

Kwa kifupi Unaweza kusema Prince Dube kaondoka na magoli yake, kawarudisha Utumwani Azam FC katika Nchi ya Simba SC iliyowatawala kabla ya ujio wake.

Rekodi Imevunjwa: Azam Fc kabla ya kupokea kipigo cha Jioni ya Jana kutoka Simba Sc cha magoli 3-0 tayari walikuwa na UNBEATEN 18,

TAKWIMU ZA AZAM FC YA DUBE DHIDI YA SIMBA. Msimu wa 22/ 23 Azam Fc 1 – 1 Simba Sc (Dube) Azam Fc 1 – 0 Simba Sc (→ Dube) Azam Fc 2 – 1 Simba Sc (FA) (Dube)
Msimu wa 23/24 Azam Fc 1 – 1 Simba Sc (Dube) Azam Fc 0 – 1 Simba Sc – Muungano Cup (Dube hakuwepo) Azam FC 0 – 3 Simba Sc (Dube hakuwepo)

Prince Dube alishajitengenezea kaufalme kake kenye mazoea ya kujipigia Mnyama kila wanapokutana kama Vile Aziz Ki,

SOMA NA HII  UKWELI NI KWAMBA ..PAMOJA NA SIMBA KUTINGA MAKUNDI..WASIPOBORESHA HAYA..WATAKIONA CHA MOTO....