Abubakar
SIO TU AZIZ KI, PACOME ANA BALAA LAKE.
MASHABIKI wa Yanga wamekuwa wakiliimba sana jina la Stephane Aziz KI ndiye nyota hatari katika kikosi hicho kutokana na msimu uliopita kuibuka Mfungaji Bora...
KAULI YA CHE MALONE MUDA MFUPI KABLA YA KUWAVAA AL AHLI
BEKI kisiki wa Simba, Che Fondoh Malone, amesema yeye na wachezaji wenzake wapo tayari kwa mchezo wa leo wa raundi ya kwanza, Kombe la...
MAKAMBO ARUDI KWA MBWEMBWE BONGO…ATANGAZA VITA
Mshambuliaji wa wa zamani wa Yanga anayekipiga na Wana Nyuki Tabora United, Heritier Makambo ‘Mzee wa Kuwajaza’ amesema kuna mabadiliko makubwa ya ubora katika...
HAMZA AANZA KUKONGA NYOYO ZA MASHABIKI
KIWANGO Anachokionesha beki wa Simba, Abdulrazack Hamza za Ligi Kuu, kimewaibua baadhi ya mastaa wa timu za Ligi Kuu kumzungumzia wakisema akiendelea kukomaa atamnyang’anya...
FADLU HANA PRESHA NA JESHI LAKE…TSHABALALA NA CHE MALONE WAWATULIZA MASHABIKI
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids na baadhi ya wachezaji wa timu hiyo akiwemo Nahodha Mohammed Hussein na Che Malone wamesema wamejiandaa vizuri kwa...
AL AHLI YAMWAGA PESA KUIMALIZA SIMBA.
Al Ahli Tripoli ni timu inayotumia pesa nyingi katika kujiendesha. Katika kujiandaa na msimu mpya ikiwamo kuiwaza Simba, imemwaga mkwanja wa maana katika kusajili...
SIMBA NDIO MTAIJUA LEO…WAARABU WAINGIA UBARIDI TAYARI
MNYAMA SIMBA inacheza mechi ya kwanza katika michuano Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu ikiwa ugenini dhidi ya Al Ahli Tripoli leo na hakika...
FADLU AMPA MAZOEZI MAALUM KIJILI…MWENYEWE AFUNNGUKA
NI MASAA machache yamebaki Simba kushuka kwenye Uwanja wa Juni 11, jijini Tripoli Libya kuvaana Al Ahli Tripoli, kocha wa kikosi hicho cha Msimbazi,...
PRINCE DUBE AWAOMBA MSAMAHA…YANGA IKIVUNJA UTEJA WAO KWA WAHABESHI
BAO moja lililofungwa na Prince Dube dakika 45 kipindi cha kwanza dhidi ya CBE SA ya Ethiopia lilitosha kuitanguliza Yanga mguu mmoja mbele katika...
KUHUSU INSHU YA KAGOMA YANGA ILIKOSEA HAPA
Hakuna Ubishi kwamba Yusuph Kagoma alikua na mkataba na timu yake ya Singida Fountain Gate. Hivyo ilibidi ufanyike uhamisho kwa kumnunua kwenda timu nyingine...