Habari za michezo

HIVI NDIVYO ALI KAMWE NA AHMED ALLY WALIVYOTAMBIANA KUELEKEA DABI YA KARIAKOO.

Abubakar October 14, 2024 10:36 am

Semaji la Caf Ahmed Ally amekutana uso kwa uso na Ali Kamwe Semaji la Wananchii, ambapo sababu ya kukutana kwao ni timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ ambayo inajiandaa kuikabili DR CONGO Jumanne ya kesho.

Katika kusherehesha Watanzania kwenda uwanjani kuipa nguvu Stars, wakajikuta kila mmoja akimtambia mwenzie kuwa Jumanne ndio siku ya mwisho kupata furaha wakiwa kwa Mkapa baada ya Stars kumchapa DR Congo ila baada ya hapo kitafuata ni kilio Tarehe 19 Oktoba.

WANANCHI NJOONI HUKU KUNA UJUMBE WENU OKTOBA 19 MNAENDA KUKAANGWA ASALALEKI… GAMONDI NA FADLU PRESHA YA DABI YAWAINGIA.