Marce Ben Komba
SIMBA KIMEUMANA…KOCHA ATEMA CHECHE HATARI…YANGA WATAJWA
KOCHA wa viungo wa Simba, raia wa Rwanda, Corneille Hategekimana ametoa onyo kali kwa wapinzani katika Ligi Kuu Bara wakiwemo Yanga na kutakuwa na...
KISA UMEME KUKATIKA MECHI YA YANGA…MHANDISI MKUU WA UMEME NA WENGINE...
Serikali imewasimamisha kazi watumishi saba akiwemo Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Salum Mtumbuka kufuatia hitilafu ya kuzimika kwa taa katika uwanja huo...
FRANK LAMPARD AKUPAMBANA NA TALAKA…ILIYOJAA MACHOZI JASHO NA DAMU
Miongoni mwa maswali magumu yaliyowahi kuulizwa. Nani alimuua Rais wa Marekani JF Kennedy? Kwanini? Kisa kilikuwa nini? Kusudio lilikuwa nini? Dunia kila siku inakutana...
DAKIKA 20 ZA GIZA MECHI YA YANGA VS RIVERS UNITED…TANESCO WARUKA...
Shirika la Umeme (TANESCO) limesema baada ya Majenereta ya Uwanja wa Taifa kushindwa kufanya kazi katikati ya mechi ya Yanga vs Rivers United ya...
BEKI WA WYDAD AMUIGA MAYELE…LIGI YA MABINGWA AFRIKA…ISHU NZIMA IKO HIVI
Baada ya mchezo wa juzi dhidi ya Simba Sc, Beki wa Wydad AC, raia wa Congo Arsene Zola amefunguka baada ya kuonekana akishangilia kwa...
RASMI YANGA KUKUTANA NA WABABE HAWA…NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO
Timu ya Yanga imeweka rekodi baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Hatua hiyo imekuja baada ya kutoka sare...
MASHABIKI WACHOMA MOTO UWANJA…LIGI YA MABINGWA AFRIKA…ISHU NZIMA HII HAPA
Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wenyeji Esperance ya Tunisia dhidi ya JS Kabylie ya...
YANGA WAFUNGUKA YA MOYONI…BADO TUNA KISASI NA RIVERS…WANEFICHUA HAYA
Hata kama huipendi Yanga itakapofika saa 1:00 usiku kuna utulivu utautengeneza kufuatilia hata kwa siri kipi kinaendelea pale Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati watakapokuwa...
KIMENUKA RONALDO NA BENCHI LA UFUNDI…HAO MABOSI SASA USISEME…ISHU NZIMA IKO...
Ilikuwa ni katika dirisha lililopita la majira ya baridi, vyombo mbali mbali vya habari Duniani viliandika kuhusu usajili wa Cristiano Ronaldo kwenda Al Nassr...
RAIS ATOA TAMKO HILI ZITO YANGA…BENCHI LA UFUNDI LATAJWA…AMEZUNGUMZA HAYA
Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa tayari umeshazungumza na wachezaji wao juu ya kuuheshimu mchezo wao wa marudiano dhidi ya Rivers United licha ya...