Home Simba SC CHIKWENDE AENGULIWA SIMBA, MKUDE NDANI KIMATAIFA

CHIKWENDE AENGULIWA SIMBA, MKUDE NDANI KIMATAIFA


 ORODHA ya kikosi cha Klabu ya Simba kinachotarajia kuanza safari kesho, Februari 9 kuwafuata wapinzani wao AS Vita kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa Februari 12.

Ikiwa kundi A itaanzia ugenini kusaka pointi tatu ambapo kwenye orodha hiyo nyota wao Perfect Chikwende si miongoni mwa msafara huo.

Ingizo hilo jipya kwenye michuano ya kimataifa amepigwa chini kwa kuwa alicheza akiwa na timu yake ya zamani ya FC Platinum hivyo jina lake limeondolewa kwa wachezaji wa kimataifa yeye atabaki ndani ya Ligi Kuu Bara.

Hii hapa orodha ya wachezaji hao:-


SOMA NA HII  WAKATI TAARIFA ZA 'VIJIWENI' ZIKISEMA KOCHA SIMBA ANAWACHUKIA CHAMA NA PHIRI...KUMBE UKWELI WA MAMBO UKO HIVI...