Home Ligi Kuu LIGI KUU BARA: BIASHARA UNITED 0-1SIMBA

LIGI KUU BARA: BIASHARA UNITED 0-1SIMBA

 


UWANJA wa Karume, Mara

Mchezo wa Ligi Kuu Bara, kipindi cha kwanza


Biashara United 0-1 Simba

Dakika ya 35 Deogratius Judika  anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Onyango 

Dakika ya 33 Lwanga anamchezea faulo mchezaji wa Biashara United 

Dakika ya 32 Chikwende anachezewa faulo na Isihaka

Dakika ya 30 Mchezani wa Biashara United anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 28, Manula anatuliza moira gambani

Dakika ya 22 Goaaaaal Morrison 

Dakika ya 21 Morrison anachezewa faulo

Dakika ya 18 Chikwende anapokwa mpira na nyota wa Biashara United 

Dakika ya 16 Biashara United wanapeleka mashambulizi kwa Manula, mchezaji wa Simba Shomari Kapombe anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 14 Meddie Kagere anacheza faulo


Dakika ya 13 Lenny Kissu anafanya jaribio linaokolewa


Dakika ya 10 Morrison anapiga kona haileti matunda

SOMA NA HII  LIGI KUU KUREJEA FEBRUARI 13, 2021

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here