Home Simba SC VIDEO: AISHI MANULA ALIVYOKIMBIZWA HOSPITALI BAADA YA KUPATA MAJERAHA

VIDEO: AISHI MANULA ALIVYOKIMBIZWA HOSPITALI BAADA YA KUPATA MAJERAHA

KIPA wa Simba, Aishi Manula Februari 1, 2021 amepakizwa kwenye gari la wagonjwa baada ya kuumia dakika ya 71 ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Msimbazi na JKT Tanzania unaopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

SOMA NA HII  KUHUSU DILI LA WINGA 'KIMONDO' KUTOKA CAMERON KUTUA SIMBA LIKO HIVI...