Yanga SC

HILI HAPA JESHI LA YANGA VS COASTAL UNION LEO

admin March 4, 2021 12:47 pm


VINARA wa msimamo wa Ligi Kuu Bara, klabu ya Yanga itaingia uwanjani katika dimba la Mkwakwani Tanga majira ya saa 10 jioni ya leo, kuwavaa Wagosi wa Kaya klabu ya Coastal Union.

Tayari Yanga imeweka wazi nyota watakaoanza ndani ya kikosi hicho, ambapo mshambuliaji wao Mbukinabe, Yacouba Sogne anatarajiwa kucheza kwa mara ya kwanza mchezo wa Ligi Kuu tangu mwaka huu uanze.

SIMBA YATAJA VIGINGI VITAKAYOSABABISHA MCHEZO WAO DHIDI YA WASUDAN KUWA MGUMU WACHEZAJI KUGEUKA MABONDIA HII NI MBAYA KWA AFYA YA SOKA LETU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply