Yanga SC

KAZE AKUBALI YAISHE MBELE YA COASTAL

admin March 4, 2021 4:47 pm

 


KOCHA mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amefunguka kuwa anaipongeza Coastal kwa ushindi walioupata dhidi ya klabu yake siku ya leo, huku pia akiwapongeza nyota wake kwa kupambana.

Yanga leo katika dimba la Mkwakwani jijini Tanga imepoteza kwa mara ya kwanza kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1.

Akizungumzia mchezo huo Kaze amesema: “Tulikuwa na mchezo mzuri dhidi ya wapinzani wetu na kufanikiwa kupata penalti mwanzoni, lakini kwa bahati mbaya tuliikosa.

“Lakini nawapongeza vijana wangu kwa kupambana, pamoja na wapinzani wetu kwa ushindi walioupata,”

KOCHA SIMBA ATAJA SABABU ZA KUTOCHEZESHA BEKI MZIMBAMBWE ALICHOSEMA MANARA HUKO SUDAN BAADA YA YANGA SC KUFUNGWA LEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply