Simba SC

SIMBA YAREJEA SALAMA NYUMBANI

admin March 7, 2021 1:47 pm

 


KIKOSI cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba tayari kimeshatua salama kwenye ardhi ya Tanzania kikitokea nchini Sudani. 

Simba inaongoza kundi A la michuano hiyo na pointi zao saba, huku ushindani ndani ya kundi hilo ukizidi kuwa mkubwa katika kusaka nafasi ya kwenda hatua ya robo fainali.

Al Ahly na AS Vita baada ya kulazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 wamefikisha jumla ya pointi nne huku Al Merrikh wao wakiwa wanaburuza mkia na pointi yao moja.

SENZO: YANGA ITAREJEA KWENYE UBORA VPL: POLISI TANZANIA 1-1 YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply