Simba SC

BREAKING: SIMBA YATINGA CAF KUOMBA UCHUNGUZI

admin March 9, 2021 5:47 am


 UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umepeleka barua Caf kwa ajili ya kuomba uchunguzi kuhusu Klabu ya Al Merrikh ya Sudan kuchezesha wachezaji wawili ambao walifungiwa na Shirikisho la Mpira.


Ikiwa majibu hayo yatajibu na uchunguz ukakamilika kwa wakati kuna uwezekano mkubwa wa Simba kupewa pointi tatu za mezani ndani ya kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika. 

Taarifa hiyo ipo namna hii:-



WACHEZAJI YANGA WAPEWA ONYO BAADA YA KAZE KUFUKUZWA HAALAD FITI KUANZA KAZI LEO MBELE YA SEVILLA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply