Simba SC

LUIS MIQUISSONE ASEPA NA TUZO YA MCHEZAJI BORA

admin March 17, 2021 9:47 am

 


LUIS Miquissone amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Simba kupitia tuzo ya Emirates Simba Fans player of the month.

Tuzo hiyo imetolewa leo Machi 17 muda mfupi baada ya uongozi wa Simba kuingia mkataba na Kampuni ya Emirates ambayo itakuwa inahusika kwenye kutoa tuzo hizo.

Amekabidhiwa tuzo na zawadi ya Shilingi milioni moja.

UBABE NDANI YA UWANJA USIPEWE NAFASI, UNATIBUA LADHA YA MPIRA MTIBWA SUGAR YAMPASUA KICHWA HITIMANA THIERY

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply